Latest Entries

Monday, September 13, 2010

kazi

SAKATA la Taasisi ya Kuweka na Kuvuna Pesa (DECI), limechukua sura mpya baada ya wanachama mbalimbali wanaodai fedha zao kuapa kumpigia kura mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMAA), Dk.Willibrod Slaa.

Mbali ya uamuzi huo, waathirika hao wakiwemo viongozi wao, wametangaza kumpigia kampeni Dk. Slaa kwa ndugu, jamaa na marafiki zao.

Sunday, August 30, 2009

SINA UJAUZITO WALA UHUSIANO NA MARLAW




Besta ambaye aliwahi kutamba na ngoma ‘Baby Boy kutoka nchhini akana kuwa na mimba ya Marlaw na kuweka wazi kuwa hata uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo hana zaidi ya kuwa majirani tu.

BEACHCOMBER WIKIENDO




TAXI AFRICANA



Ukifika Afrikana kama huna za kutosha mfukoni,wala usijali hizi taxi zitakufikisha kwa bei mchekea

KAA NAYO MBALI



Hizi ngoma za Wazo Hill huwaga hazina breki..ikiwa nyuma yako noma ikiwa mbele yako noma

VIKWANGUA ANGA MBEZI BEACH


KAZI NA DAWA



Hawa jamaa huwaga siwalewi kabisaaaaa naonaga wazushi tu,baada ya siku nzima kuhangaika bila chochote msela kaambulia demu